sw_jer_text_reg/40/13.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 13 Yohanani mwana wa Karea na maamiri wote wa jeshi katika uwanja walikuja kwa Gedalia huko Mizpa. \v 14 Walisema kwake, "Haujui kuwa Baalisi mfalme wa watu wa Ammoni amemtuma Ishmaeli mwana wa Nethania kukuua?" Lakini Gedalia mwana wa Ahikimu hakuwaamini.