sw_jer_text_reg/40/05.txt

1 line
469 B
Plaintext

\v 5 Wakati Yeremia hakujibu, Nebuzaradani alisema, "Nenda kwa Gedalia mwana wa Ahikam mwana wa Shafani, ambaye mfalme wa Babeli amemweka msimamizi wa miji ya Yuda. Baki pamoja naye miongoni mwa watu au nenda popote ni pazuri katika macho yako kwenda." Amri wa walinzi wa mfalme alimpa chakula na zawadi, na kisha akamtuma mbali. \v 6 Basi Yeremia alienda kwa Gedalia mwana wa Ahikam, huko Mizpah. Alibaki pamoja naye miongoni mwa watu ambao walibaki nyuma katika nchi.