sw_jer_text_reg/39/11.txt

6 lines
1.2 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 11 Nebukadreza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa amri kuhusu Yeremia kwa Nebuzaradani nahodha wa walinzi wa mfalme. Alikuwa amesema, \v 12 "Mchukue na umjali. Usimdhuru. Fanya kwa ajili yake chochote anachokuambia." \v 13 Basi Nebuzaradani nahodha wa walinzi wa mfalme, Nebushazbani mkuu wa matoashi, Nergali Sharezeri afisa mkuu, na wote maafisa wa muhimu wa mfalme wa Babeli walituma watu nje. \v 14 Watu wao walimchukua Yeremia kutoka uwanja wa mlinzi na kumkabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikami mwana wa Shafani, kumchua nyumbani, basi Yeremia alibaki miongoni mwa watu.
=======
\v 11 Nebukadreza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa amri kuhusu Yeremia kwa Nebuzaradani nahodha wa walinzi wa mfalme. Alikuwa amesema, \v 12 "Mchukue na umjali. Usimdhuru. Fanya kwa ajili yake chochote anachokuambia." \v 13 Basi Nebuzaradani nahodha wa walinzi wa mfalme, Nebushazbani mkuu wa matoashi, Nergali Sharezeri afisa mkuu, na wote maafisa wa muhimu wa mfalme wa Babeli walituma watu nje. \v 14 Watu wao walimchukua Yeremia kutoka uwanja wa mlinzi na kumkabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikami mwana wa Shafani, kumchukua nyumbani, basi Yeremia alibaki miongoni mwa watu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113