sw_jer_text_reg/38/27.txt

6 lines
645 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 27 Kisha maafisa wote walikuja kwa Yeremia na kumuuliza, basi aliwajibu kama mfalme alivyomuelekeza. Basi waliacha kuongea pamoja naye, kwa sababu hawakusikia mazungumzo kati ya Yeremia na mfalme. \v 28 Basi Yeremia alibaki kwenye uwanja wa mlinzi mpaka siku ile Yerusalem ilipotekwa.
=======
\v 27 Kisha maafisa wote walikuja kwa Yeremia na kumuuliza, basi aliwajibu kama mfalme alivyomwagiza. Basi waliacha kuongea pamoja naye, kwa sababu hawakusikia mazungumzo kati ya Yeremia na mfalme. \v 28 Basi Yeremia alibaki kwenye uwanja wa mlinzi mpaka siku ile Yerusalemu ilipotekwa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113