sw_jer_text_reg/38/20.txt

1 line
220 B
Plaintext

\v 20 Yeremia alisema, "Hawatakutoa kwao. Tii ujumbe toka kwa Yahwe ambao ninakuambia, ili kusudi mambo yataenda vizuri kwako, na ili kusudi utaishi. \v 21 Lakini kama unakataa kutoka, hivi ndivyo Yahwe amenionesha mimi.