sw_jer_text_reg/38/17.txt

6 lines
841 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 17 Kwa hiyo Yeremia alisema kwa Sedekia, "Yahwe, Mungu wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi: Kama kwa kweli utatoka kwenda kwa maafisa wa mfalme wa Babeli basi utaishi, and mji huu hautachomwa. Wewe na familia yako mtaishi. \v 18 Lakini kama hautaenda kwa maafisa wa mfalme wa Babeli, basi mji huu utachukuliwa kwa mkono wa Wakaldayo. Watauchoma, na hautakwepa kutoka mkono wao."
=======
\v 17 Kwa hiyo Yeremia alisema kwa Sedekia, "Yahwe, Mungu wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi: Kama kwa kweli utatoka kwenda kwa maafisa wa mfalme wa Babeli basi utaishi, na mji huu hautachomwa. Wewe na familia yako mtaishi. \v 18 Lakini kama hautaenda kwa maafisa wa mfalme wa Babeli, basi mji huu utachukuliwa kwa mkono wa Wakaldayo. Watauchoma, na hautakwepa kutoka mkono wao."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113