sw_jer_text_reg/38/14.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 14 Kisha Mfalme Sedekia alituma neno na kumleta Yeremia nabii kwake, kwenye lango la tatu la nyumba ya Yahwe. Mfalme alisema kwa Yeremia, "Nataka nikuulize kitu. Usinizuilie jibu mimi." \v 15 Yeremia alisema kwa Sedekia, "Kama nakujibu, hautaniuawa kwa hakika? Na kama nakupa ushauri, hautanisikiliza mimi." \v 16 Lakini Mfalme Sedekia aliapa kwa Yeremia kwa siri na kusema, "Kama Yahwe aishivyo, yeye aliyetufanya sisi, Sitakuuwa au kukuweka kwenye mkono wa watu wale wanaotafuta maisha yako."
=======
\v 14 Kisha Mfalme Sedekia alituma neno na kumleta Yeremia nabii kwake, kwenye lango la tatu la nyumba ya Yahwe. Mfalme alisema kwa Yeremia, "Nataka nikuulize kitu. Usinizuilie jibu mimi." \v 15 Yeremia alisema kwa Sedekia, "Kama nakujibu, hautaniua kwa hakika? Na kama nakupa ushauri, hautanisikiliza mimi." \v 16 Lakini Mfalme Sedekia aliapa kwa Yeremia kwa siri na kusema, "Kama Yahwe aishivyo, yeye aliyetufanya sisi, Sitakuua au kukuweka kwenye mkono wa watu wale wanaotafuta maisha yako."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113