sw_jer_text_reg/38/12.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 12 Ebed Meleki Mkushi alisema kwa Yeremia, "Weka matambara na nguo zilizoraruka chini ya mikono yako na juu ya kamba." Basi Yeremia alifanya hivyo. \v 13 Kisha walimvuta Yeremia kwa kamba. Kwa njia hii walimtoa kutoka kisimani. Basi Yeremia alibaki kwenye uwanja wa mlinzi.