sw_jer_text_reg/38/10.txt

6 lines
842 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 10 Kisha mfalme alitoa amri kwa Ebed Meleki Mkushi. Alisema, "Chukua amri ya watu thelasini kutoka hapa na mtoe Yeremia nabii nje ya kisima kabla hajafa." \v 11 Basi Ebed Meleki alichukua amri ya watu hao na akaenda nyumba ya mfalme, kwenye ghala la nguo chini ya nyumba. Toka hapo alichukua vitambaa na nguo zilizochanika na kuyashusha chini kwa kamba kwa Yeremia ndani ya kisima.
=======
\v 10 Kisha mfalme alitoa amri kwa Ebed Meleki Mkushi. Alisema, "Chukua amri ya watu thelathini kutoka hapa na mmtoe Yeremia nabii nje ya kisima kabla hajafa." \v 11 Basi Ebed Meleki alichukua amri ya watu hao na akaenda nyumba ya mfalme, kwenye ghala la nguo chini ya nyumba. Toka hapo alichukua vitambaa na nguo zilizochanika na kuyashusha chini kwa kamba kwa Yeremia ndani ya kisima.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113