sw_jer_text_reg/38/07.txt

6 lines
1015 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 7 Sasa Ebed Meleki Mkushi alikuwa mmoja wa watowashi katika nyumba ya mfalme. Alisikia kwamba walikuwa wamemuweka Yeremia kwenye kisima. Sasa mfalme alikuwa ameketi kwa mlango wa Benjamini. \v 8 Basi Ebed Meleki alienda toka nyumba ya mfalme na kuzungumza na mfalme. \v 9 Alisema, "Bwana wangu mfalme, hawa wanaume wamefanya uovu kwa namna walivyomtendea Yeremia nabii. Walimtupa kwenye kisima kwa ajili ya kufa kutokana na njaa, tangu hakuna chakula zaidi katika mji."
=======
\v 7 Sasa Ebed Meleki Mkushi alikuwa mmoja wa watowashi katika nyumba ya mfalme. Alisikia kwamba walikuwa wamemuweka Yeremia kwenye kisima. Sasa mfalme alikuwa ameketi kwa mlango wa Benyamini. \v 8 Basi Ebed Meleki alienda toka nyumba ya mfalme na kuzungumza na mfalme. Alisema \v 9 "Bwana wangu mfalme, hawa wanaume wamefanya uovu kwa namna walivyomtendea Yeremia nabii. Walimtupa kwenye kisima kwa ajili ya kufa kutokana na njaa, tangu hakuna chakula zaidi katika mji."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113