sw_jer_text_reg/38/04.txt

6 lines
824 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 4 Kwa hiyo maafisa walisema kwa mfalme, "Acha mtu huu afe, kwa kuwa kwa njia hii anadhofisha mikono ya wanaume wapiganaji waliobaki kwenye mji huu, na mikono ya watu wote. Anatanganza maneno haya, kwa kuwa huyu mtu hafanyi kwa usalama wa watu hawa, lakini kwa majanga." \v 5 Basi mfalme Sedekia alisema, "Tazama, yuko mkononi mwako kwa kuwa hakuna mfalme awezae kumpinga."
=======
\v 4 Kwa hiyo maafisa walisema kwa mfalme, "Acha mtu huyu afe, kwa kuwa kwa njia hii anadhoofisha mikono ya wanaume wapiganaji waliobaki kwenye mji huu, na mikono ya watu wote. Anatangaza maneno haya, kwa kuwa huyu mtu hafanyi kwa usalama wa watu hawa, lakini kwa majanga." \v 5 Basi mfalme Sedekia alisema, "Tazama, yuko mkononi mwako kwa kuwa hakuna mfalme awezaye kumpinga."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113