sw_jer_text_reg/38/01.txt

6 lines
1000 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 1 Shefatia mwana wa Matani, Gedalia mwana wa Pashuri, na Pashuri mwana wa Malkiya alisikia maneno ambayo Yeremia alikuwa akitanganza kwa wato wote. Alikuwa akisema, \v 2 "Yahwe asema hivi: Yeyote anayeishi kwenye mji huu atauwawa kwa upanga, njaa, na pigo. Lakini yeyote ambaye aendae kwa Wakaldayo ataishi. Atatoroka pamoja na maisha yake mwenyewe, na kuishi. \v 3 Yahwe asema hivi: Huu mji huu utapewa kwa mkono wa jeshi la mfalme wa Babeli, na ataukamata."
=======
\c 38 \v 1 Shefatia mwana wa Matani, Gedalia mwana wa Pashuri, na Pashuri mwana wa Malkiya alisikia maneno ambayo Yeremia alikuwa akitangaza kwa watu wote. Alikuwa akisema, \v 2 "Yahwe asema hivi: Yeyote anayeishi kwenye mji huu atauwawa kwa upanga, njaa, na pigo. Lakini yeyote ambaye aendae kwa Wakaldayo ataishi. Atatoroka pamoja na maisha yake mwenyewe, na kuishi. \v 3 Yahwe asema hivi: Huu mji utapeanwa kwa mkono wa jeshi la mfalme wa Babeli, na ataukamata."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113