sw_jer_text_reg/37/18.txt

6 lines
934 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 18 Kisha Yeremia alisema kwa mfalme Sedekia, "Kwa namna gani nimekutenda dhambi, mjakazi wako, au watu hawa kwamba umeniweke mimi kwenye gereza? \v 19 Wako wapi nabii wako, wale waliotabiri kwa ajili yako na kusema mfalme wa Babeli hatakuja dhidi yako au dhidi ya nchi hii? \v 20 Lakini sasa sikiliza, bwana wangu mfalme! Acha ombi langu liwe mbele yako. Usinirudie mimi kwenye nyumba ya Yonathani mwandishi, au nitakufa huko."
=======
\v 18 Kisha Yeremia alisema kwa mfalme Sedekia, "Kwa namna gani nimekutenda dhambi, mjakazi wako, au watu hawa kwamba umeniweka mimi kwenye gereza? \v 19 Wako wapi nabii wako, wale waliotabiri kwa ajili yako na kusema mfalme wa Babeli hatakuja dhidi yako au dhidi ya nchi hii? \v 20 Lakini sasa sikiliza, bwana wangu mfalme! Acha ombi langu liwe mbele yako. Usinirudishe mimi kwenye nyumba ya Yonathani mwandishi, au nitakufa huko."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113