sw_jer_text_reg/37/14.txt

6 lines
682 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 14 Lakini Yeremia alisema, "Hiyo si kweli. Siendi jangwani kwa Wakaldayo." Lakini Yeria hakumsikiliza. Alimchukua Yeremia na kumleta kwa maafisa. \v 15 Maafisa walikuwa wamemkasirikia Yeremia. Walimpiga na kumweka gerezani, ambayo ilikuwa nyumba ya Yonathani mwandishi, kwa kuwa waligeuza kuwa gereza.
=======
\v 14 Lakini Yeremia alisema, "Hiyo si kweli. Siendi jangwani kwa Wakaldayo." Lakini Iriya hakumsikiliza. Alimchukua Yeremia na kumleta kwa maafisa. \v 15 Maafisa walikuwa wamemkasirikia Yeremia. Walimpiga na kumweka gerezani, ambayo ilikuwa nyumba ya Yonathani mwandishi, kwa kuwa waliigeuza kuwa gereza.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113