sw_jer_text_reg/37/09.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 9 Yahwe asema hivi: Msidaganyane kwa kusema, "Hakika Wakaldayo wanatuacha sisi,' kwa kuwa hawatatuacha. \v 10 Hata kama mmelishinda jeshi la Wakaldayo lote ambalo linapigana nanyi ili kwamba wanaume waliojeruhiwa walibakizwa katika mahema yao, wangeweza kunyanyuka na kuchoma mji huu."