sw_jer_text_reg/37/06.txt

6 lines
823 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 6 Kisha neno la Yahwe lilikuja kwa Yeremia nabii na kusema, \v 7 "Yahwe, Mungu wa Israel, asema hivi: Hiki ndivyo utakavyosema kwa mfalme wa Yuda, kwa sababu amekutuma wewe kutafuta ushauri toka kwangu, 'Ona, jeshi la Farao, ambalo lilikuja kukusaidia, liko tayari kurudi Misri, kwenye nchi yao. \v 8 Wakaldayo watarudi. Watapigana dhidi ya mji huu, kuuteka, na kuuchoma.'
=======
\v 6 Kisha neno la Yahwe lilikuja kwa Yeremia nabii na kusema, \v 7 "Yahwe, Mungu wa Israeli, asema hivi: Hiki ndicho utakachosema kwa mfalme wa Yuda, kwa sababu amekutuma wewe kutafuta ushauri toka kwangu, 'Ona, jeshi la Farao, ambalo lilikuja kukusaidia, liko tayari kurudi Misri, kwenye nchi yao. \v 8 Wakaldayo watarudi. Watapigana dhidi ya mji huu, kuuteka, na kuuchoma.'
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113