sw_jer_text_reg/36/16.txt

6 lines
1.1 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 16 Ilitokea wakati waliposikia haya maneno yote, kila mtu alipatwa na hofu kwa mtu aliye karibu naye na kusema kwa Baruku, "Kwa hakika tunapaswa kutoa taarifa ya maneno haya yote kwa mfalme." \v 17 Kisha walimuuliza Baruku, "Tuambie, ulipataje kuandika maneno yote haya kwa imla ya Yeremia?" \v 18 Baruku aliwaambia, "Alitoa imla ya maneno haya yote kwangu, na nikayaandika kwa wino kwenye kitabu hiki." \v 19 Kisha maafisa walisema kwa Baruku, "Nenda, jifiche mwenyewe, na Yeremiah, pia. Usipatikane mtu yeyote kujua uko wapi."
=======
\v 16 Ilitokea wakati waliposikia haya maneno yote, kila mtu alipatwa na hofu kwa mtu aliye karibu naye na kusema kwa Baruku, "Kwa hakika tunapaswa kutoa taarifa ya maneno haya yote kwa mfalme." \v 17 Kisha walimuuliza Baruku, "Tuambie, ulipataje kuandika maneno yote haya kwa imla ya Yeremia?" \v 18 Baruku aliwaambia, "Alitoa imla ya maneno haya yote kwangu, na nikayaandika kwa wino kwenye kitabu hiki." \v 19 Kisha maafisa walisema kwa Baruku, "Nenda, jifiche mwenyewe, na Yeremiah, pia. Usipatikane mtu yeyote kujua uliko."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113