sw_jer_text_reg/36/13.txt

6 lines
1.2 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 13 Kisha Mikaya alitoa taarifa ya maneno yote kwao ambayo alikuwa amesikia ambayo Baruku alisoma kwa sauti kwenye masikio ya watu. \v 14 Kwa hiyo maafisa wote walimtuma Jehudi mwana wa Nethania mwana wa Shelemiah mwana wa Kushi, kwa Baruku. Jehudi alisema kwa Baruku, "Chukua kitabu katika mkono wako, kitabu ambacho ulikuwa unakisoma kwa masikio ya watu and kuja." Kwa hiyo Baruku mwana wa Neria alichukua kitabu katika mkono wake na alienda kwa maafisa. \v 15 Kisha walisema naye,"Kaa chini na usome haya katika masikio yetu." Kwa hiyo Baruku akasoma kitabu.
=======
\v 13 Kisha Mikaya alitoa taarifa ya maneno yote kwao ambayo alikuwa amesikia ambayo Baruku alisoma kwa sauti kwenye masikio ya watu. \v 14 Kwa hiyo maafisa wote walimtuma Jehudi mwana wa Nethania mwana wa Shelemia mwana wa Kushi, kwa Baruku. Jehudi alisema kwa Baruku, "Chukua kitabu katika mkono wako, kitabu ambacho ulikuwa unakisoma kwa masikio ya watu na uje." Kwa hiyo Baruku mwana wa Neria alichukua kitabu katika mkono wake na alienda kwa maafisa. \v 15 Kisha walisema naye, "Kaa chini na usome haya katika masikio yetu." Kwa hiyo Baruku akasoma kitabu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113