sw_jer_text_reg/36/04.txt

1 line
534 B
Plaintext

\v 4 Kisha Yeremia alimwita Baruku mwana wa Neria, na Baruku aliandika kwenye kitabu, kwa imla ya Yeremia, maneno yote ya Yahwe yalizunguzwa kwake. \v 5 Kisha Yeremia alitoa amri kwa Baruku. Alisema, "Niko gerezani na siwezi kwenda kwenye nyumba ya Yahwe. \v 6 Kwa hiyo unapaswa uende na kusoma kutoka kwenye kitabu ulichoandika kwa imla yangu. Kwa siku ya kufunga, unapaswa usome maneno ya Yahwe kwenye masikio ya watu katika nyumba yake, na pia kwenye masikio ya Yuda yote waliokuja kutoka katika miji yao. Tangaza maneno haya kwao.