sw_jer_text_reg/34/10.txt

6 lines
690 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 10 Kwa hiyo watu wote na viongozi wakaingia katika agano kwamba kila mtu amwachie huru mtumwa wake wa kiume na waikke ili asiwe mtumwa tena. Walitii na kuwaweka huru. \v 11 Lakini baada ya hapo walibadili akili zao. Wakawarudisha watumwa ambao walikuwa wamewaachia huru. Wakawalazimisha kuwa wataumwa tena.
=======
\v 10 Kwa hiyo watu wote na viongozi wakaingia katika agano kwamba kila mtu amwachie huru mtumwa wake wa kiume na wakike ili asiwe mtumwa tena. Walitii na kuwaweka huru. \v 11 Lakini baada ya hapo walibadili mawazo yao. Wakawarudisha watumwa ambao walikuwa wamewaachia huru. Wakawalazimisha kuwa watumwa tena.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113