sw_jer_text_reg/33/19.txt

6 lines
1.2 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 19 Neno la Yahwe likaja kwa Yeremia, likisema, \v 20 "Yahwe anasema hivi: 'Kama mkiweza kulivunja agano langu la mchana na usiku ili kwamba siku isikawie wala usiku usikawie kuja kwa wakati wake, \v 21 basi mtaweza u kulivunja agano langu na Daudi mtumishi wangu, ili kwamba aspate mwana wa kuketi juu ya kiti chake cha enzi, na gano langu na makuhuni wa Kilawi, watumishsi wangu. \v 22 Kama vile majeshsi ya mbinguni yasivyoweza kuhesabika, na kama vile mchanga wa ufukwe wa bahari usivyoweza kupimwa, ndivyo nitakavyouongeza uzao wa Daudi mtumishi wangu na Walawi watumikao mbele zangu."
=======
\v 19 Neno la Yahwe likaja kwa Yeremia, likisema, \v 20 "Yahwe anasema hivi: 'Kama mkiweza kulivunja agano langu la mchana na usiku ili kwamba siku isikawie wala usiku usikawie kuja kwa wakati wake, \v 21 basi mtaweza kulivunja agano langu na Daudi mtumishi wangu, ili kwamba asipate mwana wa kuketi juu ya kiti chake cha enzi, na agano langu na makuhuni wa Kilawi, watumishi wangu. \v 22 Kama vile majeshi ya mbinguni yasivyoweza kuhesabika, na kama vile mchanga wa ufukwe wa bahari usivyoweza kupimwa, ndivyo nitakavyouongeza uzao wa Daudi mtumishi wangu na Walawi watumikao mbele zangu."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113