sw_jer_text_reg/33/14.txt

6 lines
868 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 14 Angalia! Siku zinakuja—hili ni tangazo la Yahwe—ambapo nitafanya niliyoahidi kwa nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. \v 15 Katika siku hizo na katika wakati huo nitachipua shina la haki kwa ajili ya Daudi, na litafanaya hukumu na haki katika nchi. \v 16 Katika siku hizo Yuda wataokolewa, na Yurusalemu utaishi katika usalama, kwa maana hivi ndivyo atakavyoitwa, "Yahwe ni haki ni haki yetu."
=======
\v 14 Angalia! Siku zinakuja—hili ni tangazo la Yahwe—ambapo nitafanya niliyoahidi kwa nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. \v 15 Katika siku hizo na katika wakati huo nitachipua shina la haki kwa ajili ya Daudi, na atafanya hukumu na haki katika nchi. \v 16 Katika siku hizo Yuda wataokolewa, na Yerusalemu utaishi katika usalama, kwa maana hivi ndivyo atakavyoitwa, "Yahwe ni haki yetu."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113