sw_jer_text_reg/33/10.txt

6 lines
1.2 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 10 Yahwe anasema hivi, 'Katika sehemu hii ambayo sasa mnaisema, "Imetengwa, sehemu isiyo na mwanadamu wala mnyama," katika mji huu wa Yuda, na katika mitaa ya Yerusalemu ambayo imetengwa bila mwanadamu wala mnyama, zitasikika tena \v 11 sauti za furaha na sauti za shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti za wale wasemao, wanapoleta shukrani katika nyumba ya Yahwe, "Mshukuruni Yahwe wa majeshi, kwa maana Yahwe ni mwema, na upendo wake usioshindwa wadumu milele!" Kwa maana nitawafanaya tena wafungwa wa nchi kuwa walivyokuwa mwanzo,' asema Yahwe.
=======
\v 10 Yahwe anasema hivi, 'Katika sehemu hii ambayo sasa mnaisema, "Imetengwa, sehemu isiyo na mwanadamu wala mnyama," katika mji huu wa Yuda, na katika mitaa ya Yerusalemu ambayo imetengwa bila mwanadamu wala mnyama, zitasikika tena \v 11 sauti za furaha na sauti za shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti za wale wasemao, wanapoleta shukrani katika nyumba ya Yahwe, "Mshukuruni Yahwe Mungu wa majeshi, kwa maana Yahwe ni mwema, na upendo wake usioshindwa wadumu milele!" Kwa maana nitawafanya tena wafungwa wa nchi kuwa walivyokuwa mwanzo,' asema Yahwe.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113