sw_jer_text_reg/32/41.txt

6 lines
718 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 41 Kisha nitajifurahisha katika kufanya mema kwao. Kwa uaminifu nitawapanda katika anchi hii kwa moyo wangu wote na maisha yangu yoye. \v 42 Kwa amaana Yahwe anasema hivi, 'Kama tu nilivyoyaleta majanga haya makubwa yote juu ya watu hawa, hivyo hivyo nitaleta juu yao mambo mema niliyosema kwamba nitafanya kwa ajili yao.
=======
\v 41 Kisha nitajifurahisha katika kufanya mema kwao. Kwa uaminifu nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na maisha yangu yote. \v 42 Kwa maana Yahwe anasema hivi, 'Kama tu nilivyoyaleta majanga haya makubwa yote juu ya watu hawa, vivyo hivyo nitaleta juu yao mambo mema niliyosema kwamba nitafanya kwa ajili yao.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113