sw_jer_text_reg/32/26.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 26 Neno la Mungu likaja kwa Yeremia, likisema, \v 27 "Angalia! Mimi ni Yahwe, Mungu wa wanadamu wote. Kuna kitu cho chote kigumu sana kwangu kukifanya? \v 28 Kwa hiyo Yahwe anasema hivi, 'Ona, niko karibu kuutia mji huu kwenye mikono ya Wakaldayo na Nebukadreza, mfalme wa Babeli. Atauteka.