sw_jer_text_reg/32/19.txt

6 lines
924 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 19 Wewe ni mkuu katika hekima na una nguvu katika matendo, kwa maana macho yako yanaona njia zote za watu, ili kumlipa kila mtu stahiki ya matendo yake. \v 20 Ulifanya ishara na maajabu katika nchi ya Misiri. Hata leo hapa Israeli na kati ya wanadamu wengine wote, umelifanya jina lako kuwa maarufu. \v 21 Kwa maana uliwanunua watu wako Israeli kwa ishira na maajabu, kwa mkono hodari, kwa mkono ulioinuka, na kwa hofu kuu.
=======
\v 19 Wewe ni mkuu katika hekima na una nguvu katika matendo, kwa maana macho yako yanaona njia zote za watu, ili kumlipa kila mtu stahiki ya matendo yake. \v 20 Ulifanya ishara na maajabu katika nchi ya Misiri. Hata leo hapa Israeli na kati ya wanadamu wengine wote, umelifanya jina lako kuwa maarufu. \v 21 Kwa maana uliwanunua watu wako Israeli kwa ishara na maajabu, kwa mkono hodari, kwa mkono ulioinuka, na kwa hofu kuu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113