sw_jer_text_reg/32/13.txt

6 lines
924 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 13 Kwa hiyo nikampa amri Baruku mbele yao. Nilisema, \v 14 Yahwe, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Chukua nyaraka hizi, vyote hati hii ya manunuzi iliyopigwa muhuri na nakala zisizopigwa muhuri za manunuzi, na uziweke katika chungu cha udongo ili vidumu kwa muda mrefu. \v 15 Kwa maana Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Nyumba, mashamba, na mashamba ya mizabibu vitanunuliwa tena katika nchi hii.
=======
\v 13 Kwa hiyo nikampa amri Baruku mbele yao. Nilisema, \v 14 Yahwe, Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Chukua nyaraka hizi, vyote hati hii ya manunuzi iliyopigwa muhuri na nakala zisizopigwa muhuri za manunuzi, na uziweke katika chungu cha udongo ili vidumu kwa muda mrefu. \v 15 Kwa maana Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Nyumba, mashamba, na mashamba ya mizabibu vitanunuliwa tena katika nchi hii.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113