sw_jer_text_reg/31/38.txt

6 lines
1.1 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 38 "Angalia, siku zinakuja—hili ni tanagazo la Yahwe—ambapo mji utajengwa tena kwa ajili yanagu, kutoka Mnara wa Hananeli hadi kwenye Lango la Pembeni. \v 39 Kisha mistari ya kupimia itaenda nje hadi mbali, hadi kwenye kilima cha Garebu na kuzunguka Goa. \v 40 Bonde lote la miili iliyokufa na majivu, na shamaba lenye matuta linalofika hadi Bonde la Kidroni mbali hadi kwenye kona ya Lango la Farasi upande wa mashariki, litateuliwa kwa ajili ya Yahwe. Mji hautang'olewa wala kupinduliwa tena, milele."
=======
\v 38 "Angalia, siku zinakuja—hili ni tangazo la Yahwe—ambapo mji utajengwa tena kwa ajili yangu, kutoka Mnara wa Hananeli hadi kwenye Lango la Pembeni. \v 39 Kisha mistari ya kupimia itaenda nje hadi mbali, hadi kwenye kilima cha Garebu na kuzunguka Goa. \v 40 Bonde lote la miili iliyokufa na majivu, na shamba lenye matuta linalofika hadi Bonde la Kidroni mbali hadi kwenye kona ya Lango la Farasi upande wa mashariki, litateuliwa kwa ajili ya Yahwe. Mji hautang'olewa wala kupinduliwa tena, milele."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113