sw_jer_text_reg/31/27.txt

6 lines
781 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 27 Angalia, siku zinakuja—hili ni tangazo la Yaahwe—nitakapoipanda nyumba ua Israeli na Yuda pamoja na wazawa wa wanadamaau na wanyama. \v 28 Zamani, niliwaweka katika uangalizi ili kuwang'oa na kuwabomoa, kuwaangusha, kuwaharibu, na kuwaletea madhara. Lakini katika siku zijazo, nitawaangalia, ili niwajenge na kuwapanda—hili ji tangazo la Yahwe.
=======
\v 27 Angalia, siku zinakuja—hili ni tangazo la Yahwe—nitakapoipanda nyumba ya Israeli na Yuda pamoja na wazawa wa wanadamu na wanyama. \v 28 Zamani, niliwaweka katika uangalizi ili kuwang'oa na kuwabomoa, kuwaangusha, kuwaharibu, na kuwaletea madhara. Lakini katika siku zijazo, nitawaangalia, ili niwajenge na kuwapanda—hili ni tangazo la Yahwe.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113