sw_jer_text_reg/31/23.txt

6 lines
1.1 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 23 Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi, '"Nitakapowarudisha watu katika nchi yao, watasema hivi katika anchi ya Yuda na miji yake, "Yahwe akubariki, wewe sehemu takatifu ambapo anaishi, ewe mlima mtakatifu.' \v 24 Kwa maana Yuda na miji yake yote wataishi pamoja humo, kama vile watakavyoishi wakulima na wachungaji pamaoja na makundi yao. \v 25 Kwa maana nitawapa majai ya kunywa waliochoaka, na nitamjaza kila anayeteseka na kiu." \v 26 Baada ya haya niliamka, na nikagundua kwamba usingizi wangu ulikuwa unaburudisha.
=======
\v 23 Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi, '"Nitakapowarudisha watu katika nchi yao, watasema hivi katika nchi ya Yuda na miji yake, "Yahwe akubariki, wewe sehemu takatifu ambapo anaishi, ewe mlima mtakatifu.' \v 24 Kwa maana Yuda na miji yake yote wataishi pamoja humo, kama vile watakavyoishi wakulima na wachungaji pamoja na makundi yao. \v 25 Kwa maana nitawapa majai ya kunywa waliochoka, na nitamjaza kila anayeteseka na kiu." \v 26 Baada ya haya niliamka, na nikagundua kwamba usingizi wangu ulikuwa unaburudisha.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113