sw_jer_text_reg/31/21.txt

6 lines
799 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 21 Jiwekee alama za bara bara kwa ajili yako mwenyewe. Weka matangaazo ya maelekezo kwa ajili yako mwenyewe. Iweke akili yako juu ya njia sahihi, njia unayopaswa kufuata. Rudii, bikra Israeli! Rudi kwenye hii miji yako. \v 22 Utatanga tanga hadi lini, binti usiye mwaminifu? Kwa maana Yahwe ameumba kitu fulani kipya juu ya dunia—mwanamke anamzunguka mwanaume.
=======
\v 21 Jiwekee alama za bara bara kwa ajili yako mwenyewe. Weka matangazo ya maelekezo kwa ajili yako mwenyewe. Iweke akili yako juu ya njia sahihi, njia unayopaswa kufuata. Rudi, bikra Israeli! Rudi kwenye hii miji yako. \v 22 Utatangatanga hadi lini, binti usiye mwaminifu? Kwa maana Yahwe ameumba kitu fulani kipya juu ya dunia—mwanamke anamzunguka mwanaume.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113