sw_jer_text_reg/31/16.txt

6 lines
715 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 16 Yahwe anasema hivi, Zuia sauti yako usilie na macho yako yasitoe machizi; kwa maana kuna fidia kwa ajili ya mateso yako—hili ni tangazo la Yahwe—watoto wako watarudi kutoka nchi ya adui. \v 17 Kuna matumaini kwa ajili ya siku zenu za baadaye—hili ni tangazo la Yahwe—uzao wako watarudi ndani ya mipaka yao."
=======
\v 16 Yahwe anasema hivi, "Zuia sauti yako usilie na macho yako yasitoe machozi; kwa maana kuna fidia kwa ajili ya mateso yako—hili ni tangazo la Yahwe—watoto wako watarudi kutoka nchi ya adui. \v 17 Kuna matumaini kwa ajili ya siku zenu za baadaye—hili ni tangazo la Yahwe—uzao wako watarudi ndani ya mipaka yao."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113