sw_jer_text_reg/31/13.txt

6 lines
733 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 13 Kisha wanawali watafurahia kwa kucheza, na vijana na wanaume wazee watakuwa pamaoja. Kwa maana nitayageuza maombolezo yao kuwa sherehe. Nitakuwa na huruma juu yao na kuwafanya kufurahi badala ya kuhuzunika. \v 14 Kisha nitayaloanaisha sana maisha ya makuhani. Watu wangu watajijaza wenyewe kwa wema—hili ni tangazo la Yahwe."
=======
\v 13 Kisha wanawali watafurahia kwa kucheza, na vijana na wanaume wazee watakuwa pamoja. Kwa maana nitayageuza maombolezo yao kuwa sherehe. Nitakuwa na huruma juu yao na kuwafanya kufurahi badala ya kuhuzunika. \v 14 Kisha nitayaeneza sana maisha ya makuhani. Watu wangu watajijaza wenyewe kwa wema—hili ni tangazo la Yahwe."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113