sw_jer_text_reg/30/14.txt

6 lines
780 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 14 Wapenzi wako wote wamekusahau. Hawatakuangalia, kwa maana nimekujeruhi kwa jeraha la adui na nidhimu ya bwana mkatili kwa sababu ya uovu wako mwingi na dhambi zako zisizohesabika. \v 15 Kwa nini unaita msaada kwa ajili ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. kwa sambabu ya uovu wako mwingi, dhambi zako zisizohesabika, nimefanya mambo haya kwako.
=======
\v 14 Wapenzi wako wote wamekusahau. Hawatakutafuta, kwa maana nimekujeruhi kwa jeraha la adui na nidhamu ya bwana mkatili kwa sababu ya uovu wako mwingi na dhambi zako zisizohesabika. \v 15 Kwa nini unaita msaada kwa ajili ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. kwa sababu ya uovu wako mwingi, dhambi zako zisizohesabika, nimefanya mambo haya kwako.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113