sw_jer_text_reg/30/04.txt

1 line
166 B
Plaintext

\v 4 Haya ni maneno ambayo Yahwe anatangaza kuhusu Israeli na Yuda, \v 5 "Kwa maana Yahwe anasema hivi, 'Tumesikia sauti ya kutetemesha ya hofu na wala siyo ya amani.