sw_jer_text_reg/30/01.txt

6 lines
868 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 1 Neno lilokuja kwa Yeremia kutoka kwa Yahwe likisema, \v 2 "Hivi ndivyo Yahwe, Mungu wa Israeli, anasema, 'Jiandikie mwenyewe katika baraua maneno yote niliyotangaza kwako katika barua. \v 3 Maana ona, siku zinakuja—hili ni tangazo la Yahwe—nitakapowarudisha mateka wa watu wangu Israeli na Yuda. Mimi, Yahwe, nimesema hili. Kwa maana nitawarudisha kwenye nchi ambayo niliwapa babu zao, na wataimiliki."'
=======
\c 30 \v 1 Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Yahwe likisema, \v 2 "Hivi ndivyo Yahwe, Mungu wa Israeli, anasema, 'Andika kwa kitabu maneno yote niliyonena kwako. \v 3 Maana tazama, siku zaja—hili ni tangazo la Yahwe—nitakapowarudisha mateka wa watu wangu Israeli na Yuda. Mimi, Yahwe, nimesema hili. Kwa maana nitawarudisha kwenye nchi ambayo niliwapa babu zao, na wataimiliki."'
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113