sw_jer_text_reg/26/16.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 16 Kisha wakuu na watu wote wakasema kwa makuhani na manabii, "Si vyema kwa mtu huyu kufa, kwa maana ametangaza mambo haya kwetu katika jina la Yahwe Mungu wetu." \v 17 Kisha watu kutoka wazee wa nchi wakasimama na kusema kwa kusanyiko lote la watu.