sw_jer_text_reg/26/07.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 7 Makuhani, manabii, na watu wote wakamsikia Yeremia akitangaza maneno haya katika nyumba ya Yahwe. \v 8 Kwa hiyo ikatokea kwamba Yeremia alipomaliza kutangaza aliyokuwa Yahwe alimwwamuru kuyasema kwa watu wote, makuhani, manabii, na watu wote wakamsimamisha na kusema, "Hakika utakufa! \v 9 Kwa nini umetabiri katika jina la Yahwe na kusema kwamba nyumba hii itakuwa kama Shilo na mji huu utakuwa ukiwa, pasipo wakaaji?" Kwa maana watu wote wameunda kundi dhidi ya nyumba ya Yeremia.
=======
\v 7 Makuhani, manabii, na watu wote wakamsikia Yeremia akitangaza maneno haya katika nyumba ya Yahwe. \v 8 Kwa hiyo ikatokea kwamba Yeremia alipomaliza kutangaza aliyokuwa Yahwe amemwamuru kuyasema kwa watu wote, makuhani, manabii, na watu wote wakamsimamisha na kusema, "Hakika utakufa! \v 9 Kwa nini umetabiri katika jina la Yahwe na kusema kwamba nyumba hii itakuwa kama Shilo na mji huu utakuwa ukiwa, pasipo wakaaji?" Kwa maana watu wote wameunda kundi dhidi ya Yeremia katika nyumba ya Yahwe.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113