sw_jer_text_reg/25/24.txt

1 line
415 B
Plaintext

\v 24 Watu hawa pia walitakiwa kukinywa; wafalme wote wa Uarabuni na wafalme wote wa watu wa asili mchanganyiko wanaoishi nyikani; \v 25 wafalme wote wa Zimri, wafalme wote wa Elamu, na wafalme wote wa Wamedi; \v 26 wafalme wote wa kaskazini, wale wa karibu na wale wa mbali—kila mmoja na ndugu zake na falme zote za ulimwengu ambazo ziko chini ya uso wa dunia. Hatimaye mfalme wa Babeli atakunywa baada yao wote.