sw_jer_text_reg/25/22.txt

1 line
193 B
Plaintext

\v 22 Wafalme wa Tiro na Sidoni, wafalme wa pwani ng'ambo ya pili ya bahari, \v 23 Dedani, Tema, na Busi pamoja na wale wanyoao nywele zao upande wa pili wa vichwa vyao, pia walipaswa kukinywa.