sw_jer_text_reg/23/19.txt

6 lines
522 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 19 Tazama, kuna dhoruba inayotoka kwa Bwana! Hasira yake inatoka, na dhoruba inazunguka. Inazunguka vichwa vya waovu. \v 20 Hasira za Bwana hazitarejea mpaka zitakapotimiza nia ya moyo wake. Katika siku za mwisho, utaelewa.
=======
\v 19 Tazama, kuna dhoruba inayotoka kwa Bwana! Hasira yake inatoka, na dhoruba inazunguka. Inazunguka vichwa vya waovu. \v 20 Hasira ya Bwana haitarejea mpaka itakapotimiza nia ya moyo wake. Katika siku za mwisho, utaelewa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113