sw_jer_text_reg/21/11.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 11 Kuhusu nyumba ya mfalme wa Yuda, sikiliza neno la Bwana. \v 12 Nyumba ya Daudi, Bwana asema, "Hukumuni kwa haki asubuhi. Umuokoe yule aliyeibiwa kwa mkono wa mwenye kuonea, au ghadhabu yangu itatoka kama moto na kuchoma, na hakuna mtu anayeweza kuizima, kwa sababu ya matendo yako mabaya.