sw_jer_text_reg/19/01.txt

6 lines
1012 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 1 Bwana akasema hivi, "Nenda ukanunue chupa ya udongo wakati ukiwa na wazee wa watu na makuhani. \v 2 Kisha uende mpaka bonde la Ben Hinomu wakati wa kuingia kwenye mlango uliovunjika wa mfinyanzi, na huko utangaza maneno nitakayokuambia. \v 3 Ukisema, 'Sikilizeni neno la Bwana, wafalme wa Yuda na wenyeji wa Yerusalemu! Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, "Tazameni, na nitaletea msiba juu ya mahali hapa, na masikio ya kila mtu anayesikia yatawaka.
=======
\c 19 \v 1 Bwana akasema hivi, "Nenda ukanunue chupa ya udongo wakati ukiwa na wazee wa watu na makuhani. \v 2 Kisha uende mpaka bonde la Ben Hinomu wakati wa kuingia kwenye mlango uliovunjika wa mfinyanzi, na huko utatangaza maneno nitakayokuambia. \v 3 Ukisema, 'Sikilizeni neno la Bwana, wafalme wa Yuda na wenyeji wa Yerusalemu! Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, "Tazameni, na nitaletea msiba juu ya mahali hapa, na masikio ya kila mtu anayesikia yatawaka.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113