sw_jer_text_reg/18/01.txt

1 line
441 B
Plaintext

\v 1 Neno la Bwana lilimjia Yeremia, kusema, \v 2 "Simama, uende kwa nyumba ya mfinyanzi; kwa maana nitakusikilizisha neno langu huko. \v 3 Basi, nikaenda nyumbani kwa mfinyanzi, na tazama! Mfinyanzi alikuwa akifanya kazi kwenye gurudumu la mfinyanzi. \v 4 Lakini chombo cha udongo ambacho alikuwa akikifinyanga kiliharibika mkononi mwake, kwa hiyo alibadili mawazo yake na akafanya kitu kingine ambacho kilionekana kuwa kizuri machoni pake.