sw_jer_text_reg/17/17.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 17 Usiwe sababu ya hofu kwangu. Wewe ni kimbilio langu siku ya msiba. \v 18 Waaibike watu wanaoniudhi, lakini nisiaibike mimi. Wataogopa, lakini usiache nifadhaike. Tuma siku ya maafa dhidi yao na kuwaangamiza maradufu."