sw_jer_text_reg/17/15.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 15 Tazama, wananiambia, 'Neno la Bwana liko wapi? Hebu lije!' \v 16 Mimi sikuwahi kuacha kuwa mchungaji nyuma yako. Sikuitamani siku ya maafa. Unajua yaliyotoka mdomoni mwangu. Yalifanyika mbele ya uwepo wako.