sw_jer_text_reg/17/09.txt

6 lines
918 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 9 Moyo ni mdanganyifu zaidi kuliko kitu kingine chochote. Una mgonjwa; ni nani anayeweza kuelewa? \v 10 Mimi ni Bwana, ninayechunguza akili, ambaye hujaribu viuno. Ninampa kila mtu kulingana na njia zake, kulingana na matunda ya matendo yake. \v 11 kama Kware akusanyaye mayai asiyotaga. Mtu anaweza kuwa tajiri kwa udhalimu, lakini wakati nusu ya siku zake ukipita, utajiri huo utamuacha, na mwishowe atakuwa mpumbavu."
=======
\v 9 Moyo ni mdanganyifu zaidi kuliko kitu kingine chochote. Ni mgonjwa; ni nani anayeweza kuelewa? \v 10 Mimi ni Bwana, ninayechunguza akili, ambaye hujaribu viuno. Ninampa kila mtu kulingana na njia zake, kulingana na matunda ya matendo yake. \v 11 kama Kware akusanyaye mayai asiyotaga. Mtu anaweza kuwa tajiri kwa udhalimu, lakini wakati nusu ya siku zake zikipita, utajiri huo utamuacha, na mwishowe atakuwa mpumbavu."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113