sw_jer_text_reg/14/10.txt

1 line
412 B
Plaintext

\v 10 Bwana awaambia hivi watu hawa "Kwa kuwa wanapenda kutanga tanga, hawakuzuia miguu yao kufanya hivyo." Bwana hafurahi nao. Sasa anawakumbusha uovu wao na ameadhibu dhambi zao. \v 11 Bwana akaniambia, Usiombe kwa ajili ya watu hawa. \v 12 Maana ikiwa wanafunga, sitasikiliza kulia kwao; na wanapotoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za unga, sitawafurahia. Kwa maana nitawaangamiza kwa upanga, njaa, na tauni.