sw_jer_text_reg/14/04.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 4 Kwa sababu hii ardhi imepasuka, kwa maana hakuna mvua katika nchi. Wakulima huwa na aibu na kufunika vichwa vyao. \v 5 Kwa maana hata kunguru huwaacha wanawe katika mashamba, kwa maana hakuna nyasi. \v 6 Punda mwitu husimama kwenye mabonde yaliyo wazi na hupiga upepo kama mbweha. Macho yao yanashindwa kufanya kazi, kwa maana hakuna mimea.