sw_jer_text_reg/14/01.txt

1 line
351 B
Plaintext

\v 1 Neno la Bwana lilimjia Yeremia kuhusu ukame, \v 2 "Wayahudi waomboleze; basi milango yake ianguke. Wao wanaomboleza kwa ajili ya ardhi; Kilio chao kwa Yerusalemu kimepaa juu. \v 3 Wenye nguvu huwatuma watumishi wao kwa ajili ya maji. Wanapoingia kwenye visima, hawawezi kupata maji. Wote wanarudi hawajafanikiwa; Wao hufunika vichwa vyao na aibu.